Kituo cha mafunzo ya uandaaji filamu Afrika Mashariki chazinduliwa rasmi na DStv at October 11, 2018 Oktoba 2018, Kenya: MultiChoice Africa imezindua rasmi kituo cha mafunzo ya uandaaji wa filamu katika ukanda wa Afrika Mashariki .